Timu ya Sunderland inayonolewa na David Moyes imepata ushindi wake wa kwanza toka kuanza kwa ligi kuu soka ya Uingereza.
Ikicheza dhidi ya Bournemouth na ikiwa pungufu ya mchezaji mmoja baada ya Steven Pienaar kutolewa nje kwa kadi nyekundu Sunderland walifanikiwa kushinda magoli 2-1 huku goli la ushindi likifungwa na Jermain Defoe kwa mkwaju wa penati.


EmoticonEmoticon