Timu ya Manchester City leo imeshindwa kutamba katika dimba lake la Etihad baada ya kukutana na wabishi Middlesbrough katika mtanange wa EPL na kutoka sare ya goli 1-1.
Mashabiki wa Mancity wakiwa wameamini wameshisnda mchezo huo wa Midlesbrough M. De Roon aliisawazishia timu yake dakika ya 90+1 ya mchezo huo kwa kichwa akimalizia krosi nzuri iliyopigwa na George Friend.
Katika mchezo huo goli la Man City limefungwa na Aguero dakika ya 43 ya mchezo huo.



EmoticonEmoticon