FIFA imetaja wachezaji wake 23 watakaowania tuzo ya mchezaji bora wa Dunia wa FIFA kwa mwaka 2016 huku ligi pendwa Tanzania ya EPL ikiingiza wachezaji 10 sambamba na ligi bora Duniani ya Hispania ambayo nayo imetoa wachezaji 10 huku wachezaji 2 wakitoka ligi ya Ujerumani na mmoja kutoka ligi ya Italia.
Ozil ametajwa kugombania mchezaji bora wa Dunia wa FIFA
JINSI MSHINDI ATAKAVYOPATIKANA
Mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa FIFA itapatikana kwa njia ya mjumuisho wa kura ambapo 50% ya kura zitapigwa na makepteni na makocha wa Timu za Taifa Duniani kote.
50% iliyobaki itajumuisha mashabiki watakaopiga kura Online pamoja na waandishi wa Habari 200 watakaochaguliwa kutoka Mashirika yanayoaminika Duniani.
ORODHA YA WACHEZAJI WANAOWANIA KINYANG'ANYIRO HICHO


EmoticonEmoticon