Timu ya Chelsea imeifanyizia timu ya ya Everton kwa mabao 5-0 na kukwea mpaka nafasi ya kwanza ikijikusanyia alama 25 moja zaidi ya zile za Manchester City mwenye alama 24 baada ya kutoka suluhu dhidi ya Middlesbrough mapema Leo.
Wafungaji wa magoli ya Chelsea ni kama ifuatavyo


EmoticonEmoticon