MWIGULU AHUSIKA KUMBEMBELEZA
Uongozi wa klabu ya Yanga, umelezimika kumuangukia Kocha Hans van der Pluijm.
Pluijm aliandika barua kujizulu baada ya Yanga kuamua kufanya mazungumzo na Kocha George Lwandamina.
Lwandamina alikuja nchini kuzungumza na uongozi wa Yanga, jambo ambalo mwisho linaonekana kukwama.
Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba ndiye alifanya kazi ya ziada kufanya mazungumzo na Pluijm ambaye inaelezwa amekubali kurejea.
Barua ya Yanga ya kumuomba radhi Pluijm arejee Yanga
Usipitwe na vichekesho vya moro comedy| Leo wamekuletea kali nyingine hiyo hapo chini



EmoticonEmoticon