Mkali wa Hiphop Dogo Janja amechafua hali ya hewa kunako Instagram baada ya kuposti picha akiwa na video queen Agnes Masogange, ama kweli sasa huyu sio Dogo tena bali ni Kubwa janja 😁😂
Dogo janaja aliandika maneno ya kumpongeza mwanadada huyo mrembo akimuhusisha na utalii wa ndani
USIPITWE NA VICHEKESHO VYA MORO COMEDY KUPITIA YOUTUBE CHANNEL @MOROCOMEDY


EmoticonEmoticon