WANAFUNZI DAR WAKIRI KURUBUNIWA NA BODABODA

1:06 AM
Wanafunzi wa Sekondari ya Jitegemee wamekiri kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuwa baadhi yao hurubuniwa na madereva wa bodaboda na bajaji kutokana na shida ya usafiri.
Wanafunzi hao walisema hayo jana kwenye risala ya mahafali ya 32 ya kidato cha nne shuleni hapo iliyosomwa na mwenzao, Notlice Mahuni.

Akisoma risala hiyo kwa niaba ya wenzake 322 wanaohitimu kidato hicho mwaka huu, Mahuni alimuomba Makonda kuwasaidia wanafunzi jijini hapa kutatua changamoto ya usafiri kwa sababu wengi huishia kudanganywa na watu hao wakiwamo madereva wa daladala

Share this

SPORT HITS IS A BLOG BASED ON PROVIDING SPORT NEWS FROM ALL AROUND THE WORLD, STAY WITH US ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.. Dont Forget to follow us on Facebook, twitter and Instagram @sporthitstz

Related Posts

Previous
Next Post »