MAN CITY YAKUTANA NA KICHAPO CHA KWANZA UINGEREZA

7:22 AM
Tottenham Hotspurs ukipenda unaweza kuiita kiboko ya vigogo leo imeinyamazisha Timu ya Manchester City kwa kutoa kichapo cha magoli 2-1 na kuvunja mwiko rasmi wa kutokupoteza mechi hata moja kwa timu ya Manchester City chini ya Pep Gurdiola. 
Alli ndio alikuwa wa kwanza kuzifumania nyavu za Man city dakika ya 16 ya mchezo kabla ya Kolarov kujifunga mwenyewe katika harakati za kuokoa na kuizawadia Spurs goli la pili.
Huo unakuwa mchezo wa kwanza kwa Man city kupoteza tangia kuanza kwa msimu huu wa ligi kuu ya Uingereza lakini Timu ya Man city inaendelea kubaki kileleni na pointi zake 18.

Share this

SPORT HITS IS A BLOG BASED ON PROVIDING SPORT NEWS FROM ALL AROUND THE WORLD, STAY WITH US ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.. Dont Forget to follow us on Facebook, twitter and Instagram @sporthitstz

Related Posts

Previous
Next Post »