Timu ya Mbeya City imeibuka na ushindi wa goli 1-0, dhidi ya Mwadui Fc ya Shinyanga katika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya, Goli la Mbeya City limefungwa na Ditram Nchimbi dakika 32 ya mchezo huo.
Mara baada ya mchezo kama kawaida yake kocha wa Mwadui Julio ameendelea kutoa shutuma kwa waamuzi na kusisitiza msimamo wake wa kujiuzulu kujihusisha na masuala ya kisoka.

EmoticonEmoticon