Mchezo kati ya Aam na Ruvu shooting umemalizika na matokeo ni 2-2, Magoli ya Ruvu yamefungwa na Maganga pamoja na Kisiga huku yale ya Azam yakifungwa na Mcha pamoja na Mugiraneza.
Kumradhi
Awali tuliandika kufuzu kwa serengeti Boys,matokeo rasmi ni kwamba Serengeti Boys wamefungwa goli 1-0 na kutolewa kwenye mashindano. tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokez

EmoticonEmoticon