Arsenal imefanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Burney katika mechi iliyokuwa na upinzani wa hali ya juu, Goli la Arsenal liligubikwa na utata mithili ya lile goli alilofunga Tambwe dhidi ya Simba katika mechi ya ligi kuu Tanzania bara.
Iliwalazimu Arsenal kusubiri dakika 93 kuweza kufunga goli hilo kupitia beki wao Laurent Kockienly ambaye aliunawa mpira kabla ya kufunga. Ushindi huo unawasogeza Arsenal katika nafasi ya 3 ya msimamo wa ligi hiyo.
JIONEE GOLI LENYEWE HAPO CHINI


EmoticonEmoticon