Kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mrisho Khalfan Ngassa (kulia) akiwa na kiongozi wa Fanja aliyefika kumpokea usiku huu Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Muscat, Oman ambako amekwenda kwa mazungumzo ya kusaini klabu hiyo baada ya kuondoka Free State Stars ya Afrika Kusini

EmoticonEmoticon