Magoli mawili ya Castro , moja la Pierre-Emerick Aubameyang na moja la Ousmane Dembele yametosha kwa klabu ya Dortmund kutoa kipigo kwa kikosi cha Morinho katika mashindano ya pre season Champions Cup yanayoendelea huko China.
Manchester wamejikuta wakiambulia kipigo cha magoli 4-1, mpaka mpira unakwenda mapumziko tayari Dortmund walikuwa wanaongoza kwa magoli 2-0, magoli yaliyofungwa na Castro dk 19, na la pili kufungwa kwa mkwaju wa Penati na Pierre-Emerick Aubameyang dk 36.
Kipindi cha pili kilianza kwa kasi na kunako dakika ya 57 Ousmane Dembele aliifungia Dortmund goli la tatu kabla ya Mkhitaryan kuipatia Manchester goli la kufutia machozi dk 59.
Dortmund walihitimisha karamu ya mabao dakika ya 86 kupitia kwa Gonzalo Castro.
Manchester United (4-2-3-1):
Johnstone (Romero 46); Valencia (A. Pereira 74), Bailly, Jones (Rojo 46), Shaw; Blind (McNair 65), Herrera; Mata, Mkhitaryan (Januzaj 65), Lingard (Young 46); Depay (Rashford 46)
Subs not used: Tuanzebe, Keane.
Goal: Mkhitaryan 59
Booked: Bailly
Borussia Dortmund (4-2-3-1):
Weidenfeller; Passlack (Larsen 46), Sokratis (Bartra 61), Bender (Merino 61), Schmelzer (Burnic 63); Castro (Leitner 85), Rode (Sahin 63); Dembele, Ramos (Mor 62), Kagawa (Hober 64); Aubameyang (Pulisic 64)
Subs not used: Burki, Bonmann
Goals: Castro 19, 86 Aubameyang (pen) 36, Dembele 57
Booked: Sokratis




EmoticonEmoticon