Hatimae Mashabiki wa Manchester watafurahia kusikia habari hii, punde gwiji la soka Duniani akiichezea klabu ya Paris St Germain ametangaza kupitia account yake ya Instagram kwamba atakipiga na klabu ya Manchester United msimu ujao.
Ibrahimovich anatua Manchester akiwa mchezaji huru ingawa klabu ya Manchester bado haijatangaza rasmi kuhusiana na usajili huo
Ibrahimovich aliandika kupitia Instagram
Sasa ni wakati wa Dunia kujua mahala ninapokwenda msimu ujao, mahala penyewe ni MANCHESTER UNITED"
Aliandika Zlatan.


EmoticonEmoticon