Hatimae klabu ya Simba leo imetangaza rasmi wa ujio wa kocha wake mpya ambae ni Raia wa Cameroon Joseph Omong na kukamilisha ule uvumi uliosambaa wa ujio wa kocha huyo aliyewahi kuifundisha Azam Fc na kuipa ubingwa wa Tanzania bara msimu wa mwaka 2013/2014
Simba imetoa taarifa ya ujio wa kocha huyo kupitia ukurasa wake wake wa kijamii na taarifa rasmi itatoka kesho.

EmoticonEmoticon