Timu ya Wales imeibuka na ushindi wa magoli 3-1 dhidi ya Ubelgiji kwenye mchezo wa Robo Fainali ya Euro 2016 usiku huu Uwanja wa Stade Pierre-Mauroy mjini Villeneuve d'Ascq, Ufaransa. Mabao ya Wales ambayo itakutana na Ureno Julai 6 katika Nusu Fainali yamefungwa na Ashley Williams dakika ya 30, Robson-Kanu dk 55na Sam Vokes dakika ya 85, baada ya Ubelgiji kutangulia kwa bao la Radja Nainggolan dakika ya 13.
Jicho la habari|Matukio na Jamii
habari
magazeti
WALES WAINYUKA UBELGIJI 3-1 NA KUTINGA NUSU FAINALI
Next
« Prev Post
« Prev Post
Previous
Next Post »
Next Post »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



EmoticonEmoticon