Diamond Platnumz amewasili salama jijini mwanza akitokea Dar es salaam kwa ajili ya tamasha la Jembeka festival ambayo inatarajiwa kufanyika kesho. Kesho Ne-yo na Diamond wanatarajiwa kupanda jukwaa moja jijini mwanza.
Jicho la habari|Matukio na Jamii
burudani
habari
DIAMOND NAYE AWASILI MWANZA NA KUPOKELEWA UMATI WA WATU...PICHA


