ANGALIA VIDEO ALIYEKUWA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI AKIJIBU SWALI BUNGENI AKIWA AMELEWA LIVE

2:38 PM

Moja ya stori kubwa Tanzania leo May 20 2016 ni pamoja na hii ya maamuzi ya Rais John Pombe Magufuli kutengua uteuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Charles Kitwanga.Taarifa iliyonifikia ni kwamba Rais Magufuli amemfuta Waziri Kitwanga kutokana na kuingia Bungeni kujibu swali linalohusu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakati akiwa amelewa.
Hii ndio video ikimuonyesha Waziri Kitwanga akijibu maswali hayo Bungeni leo…

Share this

SPORT HITS IS A BLOG BASED ON PROVIDING SPORT NEWS FROM ALL AROUND THE WORLD, STAY WITH US ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.. Dont Forget to follow us on Facebook, twitter and Instagram @sporthitstz

Related Posts

Previous
Next Post »