Breaking News: Mjadala wa wanafunzi 7000 wa UDOM wasitisha bunge

3:15 AM
Bunge limechafuka muda huu baada ya Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nasari kuomba mwongozo wa kujadili hoja ya wanafunzi zaidi ya 700 waliofukuzwa chuoni ijadiliwe kama hoja ya dharura.
Naibu spika akaendeleza ubabe hivyo wabunge wa vyama vyote walisimama na kutoka nje.

Chanzo: Radio One

Share this

SPORT HITS IS A BLOG BASED ON PROVIDING SPORT NEWS FROM ALL AROUND THE WORLD, STAY WITH US ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.. Dont Forget to follow us on Facebook, twitter and Instagram @sporthitstz

Related Posts

Previous
Next Post »