Na hivyo mbunge huyo aliomba lijadiliwe kama swala la dharura na spika akakataa jambo ambalo lilisababisha wabunge wa Upinzani kusimama na spika akawaita askari wa bunge na kuwaamuru wawatoe Nje na waanze na NASARY,
Walipoanza kumtoa nje mbunge huyo wabunge wa CCM na wale wa Upinzani wakaamua kupiga kelele kwa kupinga hatua hiyo na wakaamua kusimama wote na kuanza kutoka wote kwa pamoja.
Naibu spika alivyoona hivyo akatangaza kuahirisha bunge mpaka hapo mchana litakapoitishwa tena baada ya kukutana na kamati ya uongozi ya Bunge.
Mwisho wa kunukuu!
Jionee video hapo chini