Timu ya Taifa ya Uganda imeibuka na tuzo ya Timu bora ya Taifa ya mwaka 2016 ikiwa imefanikiwa kufuzu michuano ya Afrika baada ya miaka 39 huku kipa wa Timu ya Mamelodi Sundown raia wa Uganda Dennis Onyango akifanikiwa kurithi tuzo ya Mbwana Samatta ya mchezaji bora wa Afrika kwa wachezaji wanaokipiga ndani ya Afrika.
Dennis Onyango mchezaji bora wa Afrika kwa wachezaji wanaokipiga ndani ya Afrika.
Tuzo nyingine ni kama ifuatavyo
Mchezaji bora wa kike Asisat OshoalaTimu bora ya Taifa ya wanawake imekwenda kwa Nigeria.
Timu ya mamelodi Sundown imenyakua tuzo ya klabu bora ya mwaka 2016
Alex Iwobi amenyakua tuzo ya mwanasoka bora chipukizi wa mwaka
Bakari Papa Gassama ameshinda tuzo ya refarii bora wa Afrika
kocha wa timu ya mamelodi Sundown Pitso Mosimane ametwaa tuzo ya kocha bora wa Afrika
Wachezaji walioingia kwenye kikosi bora cha Afrika
Riyad Mahrez mchezaji bora wa Afrika
Mamelodi Sundown imenyakua tuzo ya timu bora ya mwaka 2016 ikiwa imefanikiwa kutwaa kombe klabu bingwa barani Afrika.











EmoticonEmoticon