Taifa Stars ipo nchini Zimbabwe kwa ajili ya mechi ya kimataifa ya kirafiki inayotambulika na shirikisho la mpira Duniani FIFA, mechi hiyo itachezwa leo jioni majira ya saa kumi na kuonyeshwa moja kwa moja na Azam Tv.
Tumekuwekea picha za maandalizi ya mwisho ya kikosi cha stars nchini humo.
EmoticonEmoticon