Rais wa Simba Evans Aveva ameitisha mkutano wa dharula wa wanachama wa klabu ya Simba utakaofanyika tarehe 11-12-2016.
Mkutano hu umelenga kujadili mabadiliko ya Katiba ya klabu hiyo kuelekea mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji wa Timu hiyo.
Unaweza kusoma barua hapo chini.

EmoticonEmoticon