DIAMOND PLATNUMZ AJA NA CHIBU PERFUME

10:43 PM
Diamond Platnumz ameonyesha sample yake ya kwanza ya bidhaa yake mpya ya perfume ‘ChibuPerfume’ inayotarajiwa kuingia sokoni siku za usoni.
Muimbaji huyo amewataka mashabiki wa muziki wake kukaa tayari kwa ajili ya ujio wa bidhaa hiyo ambayo itapatikana katika maduka mbalimbali ya vipodozi nchini.

Kupitia facebook, Diamond ameandika:
About to make another History @ChibuPerfume #TheScentYouDeserve soon will be in your favorite store!

Share this

SPORT HITS IS A BLOG BASED ON PROVIDING SPORT NEWS FROM ALL AROUND THE WORLD, STAY WITH US ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.. Dont Forget to follow us on Facebook, twitter and Instagram @sporthitstz

Related Posts

Previous
Next Post »