MZAMBIA Obrey Chirwa leo ameanzishiwa benchi Yanga ikimenyana na Mbeya City Uwanja wa Sokoine, Mbeya.
Kocha Mholanzi, Hans van der Pluijm amewaanzisha pamoja leo washambuliaji Mrundi Amissi Tambwe na Mzimbabwe, Donald Ngoma katika mchezo huo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.
Kikosi kamili cha Yanga leo ni; Deogratius Munishi 'Dida', Hassan Kessy, Mwinyi Hajji, Andrew Vincent, Vincent Bossou, Mbuyu Twite, Simon Msuva, Haruna Niyonzima, Amissi Tambwe, Donald Ngoma na Deus Kaseke
Wanaokaa benchi; Beno Kakolanya, Kevin Yondan, Oscar Joshua, Thabani Kamusoko, Juma Mahadhi, Obrey Chirwa na Geoffrey Mwashiuya.

EmoticonEmoticon