Alex Sanchez leo ameibuka shujaa baada ya kuifungia Arsenal magoli 2 katika ushindi wa magoli 3-1 dhidi ya Fc Bournemouth katika mwendelezo wa ligi kuu ya Uingereza.
Sanchez alifunga magoli katika Dakika za 12 na 90 huku Walcot akifunga goli dakika ya 53.Goli la Bournemouth lilifungwa dakika ya 23 na Callum Wilson kwa mkwaju wa penati.
EmoticonEmoticon