AJIB AENDELEA KUSOTEA BENCHI| IBRAHIM MO AANZA DHIDI YA STAND UNITED

2:42 AM
Katika kile kinachoonekana kiwango cha kuridhisha alichokuwa nacho Ibrahim MO, Kocha Omong ameendelea kumuamini kijana huyo na kumuanzisha tena leo katika kikosi cha Simba kitakachopambana na Stand United na kumuweka nje Ibrahim Ajib kwa mechi ya pili mfululizo.

Mo alifunga magoli mawili katika mechi dhidi ya Mwadui, huku akicheza soka safi hali inayomlazimu kocha Omong na benchi zima la ufundi la Simba kumuamini kijana huyo.

Kikosi kamili cha Simba kitakachocheza dhidi ya Stand ni kama ifuatavyo:-

Kikosi cha Simba: Vicent Agban, Mwanjale, Juuko, Bokungu, Zimbwe Jr, Mkude, Kazimoto, Mzamiru, Kichuya, Muhamed, Mavugo.

Benchi:  Manyika, Hamad Juma, Lufunga, Ajib, Ndusha, Mnyate, Ndemla

Share this

SPORT HITS IS A BLOG BASED ON PROVIDING SPORT NEWS FROM ALL AROUND THE WORLD, STAY WITH US ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.. Dont Forget to follow us on Facebook, twitter and Instagram @sporthitstz

Related Posts

Previous
Next Post »