VIGOGO WATANO KUWEKWA KITIMOTO SONGWE

7:50 PM
Mkuu wa mkoa wilaya ya Songwe, Luteni Mstaafu Chiku Galawa.
Watumishi watano wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe waliohamishwa na wengine kustaafu wanatakiwa kurejeshwa ili kutoa maelezo ya matumizi ya Sh410 milioni zilizopotea katika mazingira tata.

Vigogo wanaotakiwa kurudi Mbozi baada ya kuhamishwa 2012/13 ni waliokuwa wakishikilia nyadhifa za mkurugenzi mtendaji, mweka hazina, ofisa elimu sekondari, ofisa mipango na mganga mkuu wa wilaya.

Taarifa hiyo, ipo kwenye mapendekezo ya tume iliyoundwa na Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Luteni Mstaafu Chiku Galawa kuchunguza upotevu wa fedha hizo.
Mwananchi

Share this

SPORT HITS IS A BLOG BASED ON PROVIDING SPORT NEWS FROM ALL AROUND THE WORLD, STAY WITH US ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.. Dont Forget to follow us on Facebook, twitter and Instagram @sporthitstz

Related Posts

Previous
Next Post »