Kikosi cha Yanga kimewasili jijini Mbeya kwa ajili ya mtanange wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mbeya City, siku ya Jumatano
Mashabiki na wanachama wa Yanga walijitokeza kwenye Uwanja wa ndege mjini humo kuwapokea vijana wao huku wakiwaonyesha heshima na furaha kubwa juu ya Timu yao.



EmoticonEmoticon