Baada ya sekeseke la Miss Tanzania mwenye umri wa miaka 18 anayedaiwa kusema ana elimu ya shahada kusambaa ukweli umedhihirika na kuonekana ni udaku na umbea wa mitandao ya kijamii katika kukuza mambo yasiyo na msingi.
Ukweli ni kwamba binti huyo alisema yeye ni aplicant wa Degree katika chuo cha IFM na si kama watu wanavyovumisha. Angalia video hapo chini kusikia alichokisema
ULIIKOSA HII YA JOH MAKINI ALIVYOKINUKISHA PALE MAISHA PLUS

EmoticonEmoticon