TAZAMA VIDEO DIAMOND AKISHEREHEKEA BIRTHDAY YAKE AKIWA AMEVAA NGUO YA NDANI TU

10:16 PM

Jumamosi hii ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya staa wa muziki, Diamond Platnumz ikiwa ni wiki moja toka atoke visiwani Zanzibar kusherekea birthday ya mama watoto wake, Zari.

Muimbaji huyo alikata keki mbele ya wasanii wake wa WCB huku akiwaacha midomo wazi mashabiki wake wa kwenye mitandao jamii kwa kitendo cha kusherekea birthday hiyo huku akiwa na nguo ya ndani ‘boxer’ akidai alikuwa anaogopa kumwagiwa maji.

Share this

SPORT HITS IS A BLOG BASED ON PROVIDING SPORT NEWS FROM ALL AROUND THE WORLD, STAY WITH US ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.. Dont Forget to follow us on Facebook, twitter and Instagram @sporthitstz

Related Posts

Previous
Next Post »