Timu Ya Simba imeendeleza rekodi yake ya ushindi baada ya leo kuibuka na ushindi mnono wa magoli 3-0 dhidi ya Toto Afica ya Mwanza.
Wakali wa mabao hayo ni Muzamir Yassin aliyefunga magoli 2 na Laudit Mavugo aliyefunga moja.
Simba inaendelea kujikita kileleni na pointi zake 29 huku ikiweka rekodi ya kutokupoteza mechi 11 mpaka sasa ilizocheza.
Unaweza kushuhudia magoli hapo chini


EmoticonEmoticon