Klabu ya Simba imetozwa faini ya shilingi Milioni
5 kwa sababu ya vurugu zilizofanywa na mashabiki wake katika mpambano wa ligi kuu baina yao na Yanga ambao uliishia kwa matokeo ya kufungana goli 1-1.
5 kwa sababu ya vurugu zilizofanywa na mashabiki wake katika mpambano wa ligi kuu baina yao na Yanga ambao uliishia kwa matokeo ya kufungana goli 1-1.
Sambamba na hilo TFF imeipa onyo kali klabu ya Simba na kuiweka chini ya angalizo la mechi mbili zijazo na iwapo zitatokea vurugu zozote zitakazoihusisha klabu hiyo basi Timu hiyo itakumbana na adhabu ya kucheza mechi zake bila mashabiki.
Pia kadi nyekundu aliyopewa Jonas Mkude wa Simba imefutwa baada ya kamati hiyo kujiridhisha kwamba ilitolewa kimakosa na mwamuzi Sanya.
Taarifa hiyo ni kutoka katika kamati ya bodi ya ligi ikitoa taarifa kwa vyombo vya habari wakati huu..
habari zaidi zikujia hivi punde...

EmoticonEmoticon