New: Majina ya wanafunzi waliokosea kujaza fomu za bodi ya mikopo

4:52 AM
Bodi ya mikopo ya elimu ya juu imetangaza majina ya wanafunzi 2016/2017, waliokosea kujaza form za mikopo kwa kutokuweka vitu muhimu kama sahihi za muombaji na sahihi za wadhamini wao.Kwa sababu hiyo kundi la hawa watu wanatakiwa kufika moja kwa moja ofisi ya bodi ya mikopo kuweka sahihi hizo.

Ofisi za bodi ya mikopo zipo Plot No. 8, Block No. 46 Sam Nujoma Road, Mwenge, Dar es Salaam.
Wote mliokosea mnatakiwa kufika katika ofisi za bodi ya mikopo kuanzia tarehe 3 jumatatu asubuhi kwa ajili ya kuviweka.

Lakini wale wote ambao hakuweka picha,vyeti ,picha za wadhamini ,vyeti ambavyo havijakikiwa na mahakama wanatakiwa kutuma vitu hivyo kwa anwani ya EMS kwenye anwani ifuatayo; 
The Executive Director,
Higher Education Students’ Loans Board,
P. O. Box 76068,
DAR ES SALAAM.

Pia bodi inawahasa wanafunzi kuwa kusahihisha information za mikopo sio gurantee kwamba ndio utapata mkopo.

pia kama hautasahihisha information zako,itaendelea kuwa hivyo hadi utakapoamua kusahihisha. 


DEADLINE YA KUREKEBISHA NI TAREHE 7/10/2016 

KUONA MAJINA HAYO  <<BONYEZA HAPA>>

Share this

SPORT HITS IS A BLOG BASED ON PROVIDING SPORT NEWS FROM ALL AROUND THE WORLD, STAY WITH US ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.. Dont Forget to follow us on Facebook, twitter and Instagram @sporthitstz

Related Posts

Previous
Next Post »