Wachezaji wa Tanzania wakishangilia baada ya kukabidhiwa kombe
TANZANIA Bara imefanikiwa kutwaa ubingwa wa kwanza wa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Kenya jioni ya leo Uwanja wa Ufundi, Jinja.
Shukraani kwao, wafungaji wa mabao hayo, Mwanahamisi Omar ‘Gaucho’ na Stumai Abdallah dhidi ya moja la Kenya, lililofungwa na Christine Nafula.
Kocha wa Kilimanjaro Queens, Sebastian Nkoma amefurahia ushindi huo na kuwapongeza wachezaji wake kwa kazi nzuri.

EmoticonEmoticon