Benchi la ufundi la klabu ya Simba leo limewaanzisha Mwinyi Kazimoto na Ndemla katika kikosi cha kwanza kitakachopambana na Ruvu Shooting muda mchache ujao.
Kikosi kamili hiki hapa
Vicent Angban (22)Malika ndeule (3)
Mohamed Hussein (15)
Novaty lufunga (21)
Method mwanjali (17)
Jonas mkude (20)
Shiza kichuya (25)
Said ndemla (13)
Laudit mavugo (11)
Ibrahim ajib (23)
Kazimoto( 8)
Wachezaji wa Akiba
Peter manyika(18)
Abdi banda(24)
Immanuel simwanza (5)
Mohamed Ibrahim (4)
Jamal mnyate (14)
Mzamiru yassin(19)
Fredrick Blagnon (27)
EmoticonEmoticon