Baada ya hapo jana, aliyekuwa mchezaji wa Simba Danny Lyanga kumwaga wino katika klabu ya Fanja ya Nchini Oman, leo hii Mrisho Ngasa Nae ametia saini miaka miwili kukipiga kunako klabu hiyo ya Nchini Oman.
Ngasa alivunja mkataba kutoka klabu ya Freestate ya Afrika ya kusini baada ya kukosana na kocha wake na sasa watakuwa pamoja na mtanzania mwenzake kunako klabu hiyo ya Oman.

EmoticonEmoticon