Vijana wakiwa wamevalia jezi mpya za klabu ya Simba katika utambulisho wa wadhamini wa ligi kuu.
Mara baada ya klabu ya Simba kuwek hadharani aina ya jezi watakazozitumia msimu ujao, Mashabiki na wadau mbalimbali wa soka wamezisifia jezi hizo kwa muonekano wake.
Mara baada ya kuwekwa hadhani ,Comment nyingi za kusifia uzi huo mpya zimeendelea kumiminika katika mitandao mbalimbali ya kijamii kuanzia asubuhi.


EmoticonEmoticon