HUU NDIO MUONEKANO WA JEZI ZA YANGA ZA MSIMU UJAO WA LIGI KUU YA VODACOM

6:20 AM
Mabingwa wa soka Tanzania Bara, Yanga nao wamekabidhiwa jezi zao kwa ajili ya msimu ujao kama unavyoona vijana wakiwa wamezivaa, zitakuwa kwa ajili ya msimu wa 2016-17. Hii ilikuwa katika hafla za makabidhiano ya jezi mpya za msimu ujao zilizofanywa na wadhamini wa Ligi Kuu Bara, kampuni ya simu za mikononi ya Vodacom.

Share this

SPORT HITS IS A BLOG BASED ON PROVIDING SPORT NEWS FROM ALL AROUND THE WORLD, STAY WITH US ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.. Dont Forget to follow us on Facebook, twitter and Instagram @sporthitstz

Related Posts

Previous
Next Post »