Simba tayari imeawasainisha mkataba wachezaji wake wa tano wa kigeni jana na kukamilisha idadi ya wachezaji saba.
wachezaji waliosajiliwa ni Janvier Besala Bokungu kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Method Mwanjali kutoka Zimbabwe, kiungo Mussa Ndusha kutoka DRC pia na washambuliaji Frederick Blagnon kutoka Ivory Coast na Laudit Mavugo wa Burundi.

Janvier Bokungu akikikabidhiwa jezi na picha ndogo kulia akitia saini.
Mavugo akikikabidhiwa jezi na Rais wa klabu ya Simba Evans Aveva.




EmoticonEmoticon