Timu ya soka ya Taifa ya vijana ya chini ya umri wa miaka 17 maarufu kama Serengeti Boys, imeilazimisha Timu ya Afrika ya Kusini sare ya kufungana magoli 1-1 katika mpambano wa kuwania kufuzu kucheza kombe la mataifa ya Afrika kwa vijana walio chini ya umri wa miaka 17, magoli yote yamepatikana kipindi cha pili.
Mechi ya marudiano itachezwa Tarehe 21 Agosti uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

EmoticonEmoticon