Ederzito Antonio Macedo Lopes - AKA Eder Mfungaji pekee wa goli la Ureno.
Goli la dakika za nyongeza za mchezo wa Fainali kati ya Ufaransa na Ureno lililofungwa na mshambuliaji wa Ureno Eder katika dakika ya 109 limetosha kuipa ubingwa wa Ulaya Timu ya Taifa ya Ureno ambayo imecheza katika fainali hiyo muda mwingi bila ya mshambuliaji wake tegemeo Christian Ronaldo aliyetoka nje dakika ya 23 ya mchezo baada ya kuumia goti.
Kwa kweli ilikuwa ni shangwe isiyo na kifani..
Hongera Urena kwa Ubingwa wa Ulaya.

EmoticonEmoticon