Timu ya KRC Genk anayochezea Mtanzania Mbwana Samatta imepata ushindi mwembamba wa goli 1-0 dhidi ya Cork.
Ushindi huo ni katika mechi ya kuwania kucheza Kombe la Europa, sasa Genk iliyokuwa nyumbani itatakiwa kulinda ushindi huo finyu katika mechi ijayo ugenini.
Shujaa wa Genk alikuwa ni Bailey ambaye alifunga bao hilo pekee huku Genk wakipoteza nafasi nyingi za kupata mabao zaidi.

EmoticonEmoticon