Baada ya kusambaa kwa tetesi za uongo katika vyombo vya habari kuhusiana na aliyekuwa mwenyekiti wa CUF Prof, Ibrahim Lipumba kwamba Katibu Mkuu wa Chama hicho Maalim Seif Sharif amekataa ombi lake la kurejea katika chama hicho.
Chama cha CUF Kimeshauri vyombo vya habari kuwa na uhakika wa habari wa unazoziandika na kuachana na vyanzo potofu ambavyo vinapotosha uma.
Leo chama cha CUF kimetoa waraka wa kukanusha habari hizo kama inavyoonekana hapo chini


EmoticonEmoticon