Breaking News| Basi la Tahmeed Latekeketea kwa moto

6:51 AM
Basi la Tahmeed linalofanya safari zake za Dar kwenda Tanga; limeungua lote kwa moto leo katika kijiji cha Komkoma.
Kwa mujibu wa shuhuda wa tukio hilo ameeleza kuwa hakuna abiria wote waliwahi kutoka na hakuna aliyejeruhiwa.
Pamoja na kutoka abiria wote lakini hawakufanikiwa kutoa mizigo na vyote vikateketea.

Share this

SPORT HITS IS A BLOG BASED ON PROVIDING SPORT NEWS FROM ALL AROUND THE WORLD, STAY WITH US ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.. Dont Forget to follow us on Facebook, twitter and Instagram @sporthitstz

Related Posts

Previous
Next Post »