MAJABVI AKWEA PIPA, AWAACHA SIMBA NA SINTOFAHAMU

5:56 AM
Kiungo Justuce Majabvi ameondoka kurejea kwao Zimbabwe na kuacha hali ya sintofahamu. Bado haina uhakika kama kiungo huyo atarejea tena Simba.

Awali aliomba aachwe aende kwa kuwa mkewe amepata kazi nchini Australia.

Lakini kumekuwa na taarifa kwamba anaweza kujiunga na Yanga. Hali hiyo nayo inazua kizumbumkuti.

Uongozi wa Simba, ulishaweka wazi kwamba umamhitaji mchezaji huyo ambaye alipaswa abaki kati ya wachezaji wageni.

Share this

SPORT HITS IS A BLOG BASED ON PROVIDING SPORT NEWS FROM ALL AROUND THE WORLD, STAY WITH US ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.. Dont Forget to follow us on Facebook, twitter and Instagram @sporthitstz

Related Posts

Previous
Next Post »