Goli alilofunga Deus Kaseke dakika ya 13 dhidi ya Majimaji lilitosha Yanga kuibuka na pointi tatu muhimu na kupunguza gepu la pointi dhidi ya kinara wa ligi hiyo Simba sc.
Mchezo huo ulishuhudia Yanga ikikosa magoli mengi ya wazi huku majimaji wakionyesha nidhamu ya hali ya juu ya mchezo.

EmoticonEmoticon