Taifa la Gabon ambao ndio wenyeji wa michuano fainali za kombe la mataifa ya Afrika,imekuwa timu ya kwanza kuaga michuano hiyo baada ya kulazimishwa suluhu ya bila kufungana na timu ya Cameroon.
Gabon ambayo ilihitaji ushindi mbele ya Cameroon ndipo iweze kufuzu ilishindwa kufanya hivyo kutokana na uimara wa kikosi cha Cameroon.
Gabon imemaliza ikiwa nafasi ya tatu ikijikusanyia alama 3 huku Cameroon ikijinyakulia alama 5 huku Burkinafaso ikishika usukani na alama zake 5



EmoticonEmoticon