Magoli mawili ya Simon Msuva yametosha kuipa pointi tatu klabu Yanga katika michuano ya Mapinduzi baada ya kuifunga Timu ya Zimamoto ya Zanzibar.
Kwa matokeo ya leo yanazidi kuikita Yanga kileleni katika kundi lake kwa kufikisha pointi 6 na magoli 8 baada ya kucheza mechi mbili.
Baadae kutakuwa na mchezo mwingine baina ya Azam Jamuhuri.

EmoticonEmoticon