Video| FULL TIME JKT Ruvu 0-3 YANGA-KAMA ULIIKOSA MECHI HIYO ITAZAME HAPA

11:17 AM
Ikiongozwa kwa mara ya kwanza na kocha Mzambia Lwandamila,Timu ya Yanga leo imefanikiwa kukaa kileleni mwa ligi kuu soka ya Vodacom kwa mara ya kwanza tangu msimu wa ligi hii uanzae kwa kuibuka na ushindi wa magoli 3-0 dhidi ya timu ya JKT Ruvu, shukrani pekee zimuendee Simon Msuva aliyefunga magoli mawili na kutia presha katika kupatikana kwa goli la kwanza ambalo Beki wa JKT Ruvu Michael Aidan kujifunga.
kwa matokeo hayo yanga inakaa kileleni mwa msimamo wa ligi kuu kwa kufikisha pointi 36 moja zaidi ya Mnyama Simba ambae amekaa kileleni kwa kipindi kirefu na timu hiyo itashuka dimbani kesho kupepetana na Ndanda mjini Mtwara.
Ni fursa yako kuushuhudia mtanange wa JKT Ruvu na Yanga hapo chini

Share this

SPORT HITS IS A BLOG BASED ON PROVIDING SPORT NEWS FROM ALL AROUND THE WORLD, STAY WITH US ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.. Dont Forget to follow us on Facebook, twitter and Instagram @sporthitstz

Related Posts

Previous
Next Post »